November 10, 2010

KAMILISHA METHALI ZIFUATAZO - Courtesy of Sharon Maingi

















· Wapishi wengi ...... chakula hupikwa haraka.
· Mtegemea Noodles 4 supper....... haachi kulala njaa
· Utamu wa manzi ........... aujuae ni chali
· Mtoto akililia wembe .......anataka kukata sehemu nyeti auze
· Uzuri wa mke si sura ........ ni kujua "fulu fulu condition"
· Mbio ya 800 ......... huishia kwa Rudisha .
· Mwenda pole .......... ni bi arusi.
· Aliye juu .......... bila shaka anatengeza roof
· Ukistaajabu ya Musa ........... haujasikia ya Onyancha
· Kidole kimoja ........ ni jina ya kanisa ya Runda
· Fahari wawili wakipigana............ call rates zinashuka
· Mgema akisifiwa ......... chang'aa inakuwa legalized.
· Ahsante ya punda ......... usiifananishe na ya ng'ombe
· Ajali haina ......... fulifuli fulifuli conditioooon
· Asiye funzwa na mamaye........... mwalimu king'ang'i yupo
· Ukiistajabu ya m-kifo ......... hujayaona ya m-nyeti pap
· Asiyekubali kushidwa ......... anakuwa prime minister
· Aliye na macho .......... hanywi changaa
· Mwenda tezi na omo ......... hajajua kuna aerial
· umoja ni ........ estate utengano ni setbook
· Akukumlikaye mchana ......... anahitaji stima loan
· Asiye na bwana ......... aelekee kicc
· Mjinga akierevuka ............... walimu waende nyumbani
· Kikulacho ............ kina appetite
· Hasira ya mjaluo .............. furaha ya museveni
· Ukitaka kula kuku .........chagua aliye mtesa churchil
· Kung'oa reli kwa mjaluo .........ni furaha ya mkikuyuatauza chuma
· Akili nyingi .......... ilimfanya ruto ashindwe
· Dalili ya the hague ......... ni ocampo
· Dawa ya kuku ........... ni mluhya
. Haba na haba ........... weka kwa M-KESHO
. Mwenda tagged na twitter ............ marejeo ni Facebook


Jade*

No comments: